PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Kauli ya Singida United kuhusu Feisal kumtambulisha wao na Yanga kama mchezaji wao leo

on

Kama ni shabiki wa soka najua asubuhi ya leo umekutana na taarifa ya club ya Singida United kupitia kwa Mkurugenzi wake Festo Richard Sanga kumtambulisha rasmi mchezaji Feisal Salum Abdallah maarufu kama Fei Toto kama ni mchezaji wao halali na wameingia nae mkataba wa miaka mitatu.

Leo pia jioni Yanga na wao wakiwa na Feisal kama ilivyo Singida United wamemtambulisha rasmi Feisal Salum kama ndio mchezaji wao, hii kitu sio cha kawaida mchezaji mmoja kutambulishwa ndani ya club mbili kwa siku moja na wote wakieleza kuwa mchezaji wao.
AyoTV imempata mkurugenzi wa Singida United Festo Richard Sanga na kumuomba atupe ufafanuzi kuhusiana na Feisal imekuwaje.


Haji Manara kaeleza sababu za kuwasajili Wawa, Dida na Kagere

Soma na hizi

Tupia Comments