Top Stories

‘Ma-role model ni Diamond na Alikiba, Hatuwezi kuwa Taifa lenye uchumi imara’ Eng. Barozi

on

Leo June 8, 2018 Mwenyekiti wa Bodi ya Wasajili Mkoa wa Mbeya Eng.Patrick Barozi amewataka wahandisi kufanya kazi kwa Weledi na Uadilifu pamoja na kujitolea katika Jamii ili kutatua changamoto mbalimbali  zinazoikumba Jamii.

Eng. Barozi amesema hayo katika kuadhimisha Miaka 50 ya Bodi Ya Wahandisi “bado kuna kazi kubwa kwa Wahandisi kujitolea hasa kuendeleza wanafunzi pamoja na wahandisi waliopo vyuoni na shuleni ili wapatikane Wahandisi wazuri kwa Miaka ijayo”

“Tumepita kwenye mashule na ukiwauliza watoto role model wako nani wanasema Alikiba au Diamond, hatuwezi kuwa na Taifa lenye uchumi uliokomaa tusipokuwa na Wahandisi bora” amesema Eng. Barozi

Tazama LIVE mapya aliyoibuka nayo Dr. Shika akizungumza na Waandishi ‘Tutaelewana’

Soma na hizi

Tupia Comments