PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Magufuli “Huyu Mkurugenzi alipiga simu nikamtukana, kitu cha ajabu cha kipimbavu” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Magufuli akiongea na Wafanyabiashara Ikulu Jijini DSM amefichua kile ambacho wengi hawakukijua kuwa alimtukana Mkurugenzi wa TIC alipompigia simu.

RC MWANRI ‘HAYAWI HAYAWI YAMEKUA FACEBOOK WANAITAKA APPLICATION ALIYOGUNDUA MTOTO TABORA”

 

Soma na hizi

Tupia Comments