Top Stories

Mke wa Kibonde wa Clouds Fm amefariki dunia

on

Leo July 10, 2018 Taarifa iliyotufikia muda huu millardayo.com ni kuwa Mke wa Mtangazaji wa Clouds Fm katika kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde amefariki.

Kwa mujibu wa Rafiki mkubwa na Mtangazaji mwenzie Gadner G. Habash amesema Mke wa Kibonde aitwae Sara Kibonde na amefariki usiku huu akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Hindu Mandal.

Taarifa zaidi kukujia hapahapa ndani ya millardayo.com

Kilichosababisha Tanga na Manyara kushindwa kushiriki Miss Kanda Kaskazini

Soma na hizi

Tupia Comments