Michezo

“Serikali hii yenyewe ya Magufuli jamani” – MANARA

on

Jumanne ya October 17 2017 Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara alifanya mkutano na waandishi wa habari nakuzungumza madukuduku mbalimbali ikiwemo kutoridhishwa na mwenendo wa Waamuzi katika game zao tatu za Ligi Kuu zilizopita.

“Niwaombe TFF na bodi ya Ligi waangalie namna ya kuwaita waamuzi sasa, mimi ningeshauri hivi TFF na bodi ya Ligi wangewaita waamuzi wote wa Ligi Kuu na Ligi daraja la kwanza wakafanya nao kikao wakawaambia malalamiko yamekuwa mengi”>>> Haji Manara

Mechi za Ligi daraja la kwanza tunasikia huko vituko vilivyotokea Dodoma huko, jamani TFF mtatakiwa kutoa majibu kwa kitakachotokea viwanjani, serikali yenyewe hii ya Magufuli jamani jitahidi mkifungia mmoja maisha kuchezesha mpira hawatorudia”>>>Haji Manara

MAGOLI: Dakika 2 zilizonasa magoli yote ya Simba SC vs Mtibwa leo (video)

Soma na hizi

Tupia Comments