Tangaza Hapa Ad

AyoTV

FULL VIDEO: Makonda na kinachoendelea kwenye ishu ya dawa za kulevya DSM

on

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewaita Waandishi wa habari kwenye ofisi za kamishna Simon Sirro kituo kikuu cha kati Dar es salaam kuongea kilichoendelea na kinachofatia baada ya kuitaja orodha ya wanaotuhumiwa kwa matumizi na biashara ya dawa za kulevya Dar es salaam, MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

ULIPITWA? Tamko la kwanza la Paul Makonda kuhusu wanaotuhumiwa kwenye dawa za kulevya Dar es salaam liko kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement