Biko


Tangaza Hapa Ad

Mix

MFUMUKO WA BEI: Ofisi ya Taifa ya takwimu yatoa taarifa ya mwezi September 2017

on

Leo September 9 2017 Ofisi ya takwimu ya taifa ya takwimu wameitoa taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi September 2017.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya watu na makazi ofisi ya Taifa ya Takwimu ‘NBS’, Ephraim Kwesigabo amesema mfumuko wa bei wa mwezi September 2017 unaopimwa na kipimo cha mwezi umeongezeka kwa asilimia 0.02 ikilinganishwa na kupungua kwa asilimia 0.4 ilivyokuwa mwezi August 2017 unaweza kubonyeza hapa chini kutazama hii video

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement