Tangaza Hapa Ad

Michezo

Magoli ya Simba VS Ruvu Shooting Ligi Kuu Full Time (ALL GOALS 2-1)

on

Ligi Kuu soka Tanzania Bara leo September 7 2016 imeendelea kama kawaida kwenye vinjwa mbalimbali ambapo Club ya Simba iliwaalika Ruvu Shooting katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam ambapo mechi ilimalizika kwa Simba kuibuka na Ushindi wa Magoli 2-1,

Ruvu Shooting ndio ilikua ya kwanza kupata goli katika dakika ya 8 ya mchezo kupitia kwa Abrahaman Musa, wakati magoli ya Simba yalipatikana katika dakika ya 11 kupitia kwa Ibrahim Ajib na  dakika ya 50 kupitia kwa Mavugo.

LL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement