Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Maneno ya Rais Magufuli akimtakia Heri ya siku ya kuzaliwa TB Joshua

on

Leo June 12, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano Dr. John Magufuli amemtumia salamu za heri ya siku ya kuzaliwa, mchungaji maarufu wa Nigeria, TB Joshua, aliyefikisha miaka 55.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Rais Magufuli amesema “Kwa niaba ya familia yangu, ninatuma salamu zangu za dhati katika siku yako ya kuzaliwa unapotimiza miaka 55. Mungu aendeelee kukupa uongozi mkubwa ili uweze kuleta ukombozi kwa watu wengi na kueneza harufu yake katika mataifa yote.” Heri ya siku ya kuzaliwa.”

Agizo alilotoa Rais Magufuli kwa Viongozi wote wa Dini nchini

Soma na hizi

Tupia Comments