Top Stories

“Eti Dereva ananiuliza kuendesha gari ukiwa na ndevu ni kosa?” ZTO Mwakyoma

on

Leo July 9, 2018 tunayo story kwa ZTO wa Dar es Salaam, Marison Mwakyoma ambapo amezungumza na wadau wa usalama barabarani kuhusu kudhibiti ajali za barabarani.

Katika hatua hiyo ZTO Mwakyoma amesema inafikia hatua dereva hajui sheria kiasi kwamba anabambikiwa kwamba kuendesha gari ukiwa na ndevu ni kosa kisheria.

“Siku moja dereva ananishukuru mimi eti ananiuliza kuendesha gari ukiwa na ndevu ni kosa, maana askari alikagua gari hakuona tatizo akawambia kuendesha gari ukiwa na ndevu ni kosa,”amesema Mwakyoma

Pia amesema ni jambo la ajabu kama utaratibu wa Tochi utawekwa mjini, kwani lengo la kuhakikisha usalama ikiwemo kupunguza msongamano.

Mwigulu amemuona Rais Magufuli akipokea ndege mpya ameandika haya

Soma na hizi

Tupia Comments