PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Mwenyekiti alivyotoboa siri za Chama mbele ya Prof. Tibaijuka, amejipinga

on

Leo July 10, 2018 Kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika katika Jimbo la Muleba Kusini na kuibuka changamoto kubwa juu ya zao la kahawa, hali hiyo imepelekea Mbunge wa jimbo hilo Prof. Anna Tibaijuka kumsimamisha Mwenyekiti wa chama cha ushirika cha kata hiyo kujibu changamoto hiyo.

Mwenyekiti huyo Laurence Luguma amewaacha watu hoi baada ya kupinga kazi na taratibu zinazofanywa na Vyama vyao vya msingi badala ya kuvitetea.

Aidha Prof. Tibaijuka amelazimika kutumia hotuba ya Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibuni wakati anawaapisha Mawaziri wapya na viongozi mbalimbali, ili kuweza kuwaweka sawa wananchi waliohudhuria mkutano huo hususani wakulima wa zao la kahawa.

RC Makalla asubirisha zoezi la Machinga kupewa Vitambulisho na TRA

Soma na hizi

Tupia Comments