Top Stories

Mwanzilishi wa Nursery DSM afunguka”nilianza fundisha tuition, sasa namiliki Shule Tatu kubwa”

on

Leo October 15, 2018 Mkurugenzi Shule za ATLAS Silvanus Rugambwa amezungumza na AyoTV na millardayo.com na kutuelezea alipoanzia safari yake ya kufundisha ambapo amesema alianza kufundisha Tuition mpaka alipofikia kumiliki shule hizo tatu za Atlas jijini DSM.

Rugambwa amesema alianza kuomba chumba cha mtu muda wa jioni ili afundishe tuition kwani mchana kilikuwa kinatumika na mwenyenacho ambaye nae alikuwa anafundisha tution na hapo alikuwa akikusanya fedha ambazo zilimuwezesha kufungua Nursery ya kwanza.

JPM amataka ‘Mkuu wa Mkoa Bora TZ’ atoe maelezo “why wanamdanganya Nyerere”

 

Soma na hizi

Tupia Comments