Top Stories

Majibu ya Serikali kuhusu kuwabagua wanafunzi kwenye mikopo

on

Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Willium Ole Nasha imetolea ufafanuzi kuhusu suala la kutowapa mikopo wa elimu ya juu wanafunzi waliosoma katika shule binafsi maamuzi yaliyoitwa kuwa ni yakibaguzi. Ole Nasha ametolea ufafanuzi huo wakati akijibu swali la Mbunge wa Temeke Abdallah Mtolea.

Swali la kwanza la Dr Tulia kwa Serikali tangu aingie Bungeni

Soma na hizi

Tupia Comments