Tangaza Hapa Ad

Mix

Miss Tanzania 2010 kaingia rasmi kwenye bongofleva na hii ndio ngoma yake

on

Genevieve Mpangala ni Miss Tanzania 2010 na kwa time hiyo hakutuonyesha kipaji chake kingine lakini leo Dada mkuu huyu wa zamani kwenye Sekondari aliyosoma ameamua kutufungulia, unaweza kusikiliza ngoma yake mpya hapa chini na kisha usisahau kuacha comment ili akipita ajue watu wamempokeaje

VIDEO: Tazama P Funk akiongea baada ya kuona video ya mapenzi inayosambaa mitandaoni ikidaiwa ni mtoto wake, bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement