Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kichuya na Mnyate wameiongoza Simba kuchukua point tatu dhidi ya Majimaji FC

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea tena Jumamosi ya Septemba 24 2016 kwa michezo  mitano  kuchezwa katika viwanja vitano tofauti, moja kati ya mchezo uliochezwa ni Simba waliwakaribisha Majimaji FC katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam, katika mchezo ambao kila mmoja alikuwa anawania kupata ushindi na kuondoka na point tatu.

Simba imefanikiwa kuondoka na point tatu ambapo wameifunga Majimaji FC goli 4-0 magoli ambayo yamefungwa katika Dakika ya 4′ na 74′ ya mchezo kupitia kwa Mnyate, mkwaju wa penati uliofungwa na Kichuya katika dakika ya 67′ na 81′ na kukamilisha idadi ya goli 4-0

ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

 

Tupia Comments

Advertisement