Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Vitu vilivyofanya mahakama ya Kisutu izuie mkutano wa Yanga Jumapili

on

Najua shabiki wa soka la Tanzania kwa sasa unashauku ya kutaka kujua nini kitaamuliwa Jumapili ya October 23 2016 katika mkutano mkuu wa dharura wa Yanga, taarifa ikufikie kuwa baadhi ya wanachama wa Yanga wakiongozwa na mwanasheria wa zamani wa klabu hiyo Frank Chacha wamefungua kesi mahakama ya Kisutu.

“Kwenye maombi yetu haya ya dharura katika kesi tuliyoifungua leo mahakama ya Kisutu moja ni kuzuia mkutano mkuu wa dharura utakaofanyika Jumapili ya tarehe 23 2016, la pili ni kuzuia utekelezaji wa mkataba kati ya kampuni ya Yanga Yetu na bodi ya wadhamini”

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement