PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

“Mwanaume huyu Rais wetu kapambana, Airbus inatua kesho” RC Makonda (+video)

on

Tunayo story kutokea kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ambapo amezungumzia ujio wa ndege mpya ya Airbus ikiwa ya pili kati ya ndege saba ambazo zilizoahidiwa na Rais John Magufuli.

Pia amesema kama kuna mtu ambaye ni Mkazi wa Dar es Salaam na akitoa ahadi anatekelea basi afike katika upokeaji wa ndege hiyo na kama sio mtu wa kutekeleza ahadi basi asifike.

RC MWANRI AMVAA MHINDI KISA WAFANYAKAZI “WHERE IS MIKATABA NOW, BISHA UONE”

Soma na hizi

Tupia Comments