Top Stories

“Hatujajitoa kwenye uchaguzi, tutasimamisha wagombea” Magdalena Sakaya

on

Leo July 8, 2018 tunayo story kutokea Chama Cha Wananchi CUF, ambapo kimezungumzia kuhusu ushiriki wao katika uchaguzi mdogo wa marudio katika kata 79 za Tanzania bara na Zanzibar.

Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu ushiriki huo Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, Magdalena Sakaya amesema wanachama wao wapuuze taarifa zinazosambaa kuwa CUF wamejitoa katka chaguzi hizo hivyo wajitokeze kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi mbalimbali zitakazotangazwa.

“Kuna taarifa tumeanza kusikia pembeni kwamba CUF tumejitoa kwenye uchaguzi, hayo ni ya kwao lakini CUF tumetangaza kwamba tunakwenda kwenye uchaguzi” amesema Sakaya

Kauli ya kwanza ya Mwigulu tangu atenguliwe โ€œNitaacha Ubunge?โ€

 

Soma na hizi

Tupia Comments