Top Stories

Malalamiko ya RC yamfanya Waziri Mbarawa kumhamisha Mkurugenzi

on

Waziri wa Mji na Umwagiliaji Prof. Makame Mbarawa amemuondoa kwenye nafasi yake ya Ukurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mkoa wa Kigoma (KUWASA) Saimon Lupuga baada ya kutoridhishwa na utendaji kazi wake.

Mbarawa amefikia hatua hiyo baada ya malalamiko ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga kuwa mamlaka hiyo na Bonde la Mto Tanganyika pamoja na wahandisi wa maji hawatoshi kwenye nafasi zao kutokana na kufanya kazi kwa mazoea.

Kutokana na hatua hiyo Waziri Mbarawa amesema atamuagiza Katibu Mkuu kuandika barua ya uhamisho wa Mkurugenzi huyo kurejeshwa DSM kuanzia leo.

LIVE MAGAZETI: Siku 8 za Obama Serengeti, Lissu awapa mbinu mpya wapinzani

Soma na hizi

Tupia Comments