Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mshiriki Miss Shinyanga apigwa akidai hela ya nauli “wamenichania nguo ya ndani” (+video)

on

Mshiriki wa mashindano ya ulimbwende Mkoani Shinyanga (Miss Shinyanga 2019) Nicole Emmanuel, amedai kupigwa na kuvuliwa nguo hadharani na waandaji wa mashindano hayo Mjini Shinyanga wakati akidai fedha zake nauli shilingi 70,000.

VITUKO VYA MBUNGE MWIJAGE MBELE YA UMATI “NITAJIFUNZA ROHO MBAYA”

Soma na hizi

Tupia Comments