Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Nilidhani Iringa ni kama Ulaya, Msigwa rudi ushughulike na matatizo yako” -Musukuma

on

Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma baada ya kumaliza kampeni za kumnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Songea Mjini Dr. Damas Ndumbaro, January 13, 2018 alipita mkoani Iringa ambapo aliungana na Mbunge Viti Maalumu Iringa Ritha Kabati na kukabidhi msaada kwa watu wenye ulemavu wa ngozi.

Moja kitu Musukuma alichokiongea mkoani Iringa ni kuhusu muonekanao na hali za wakazi wa Iringa akifananisha na watu katika Jimbo lake la Geita Vijijini.

Musukuma amesema “Nimeiona Manispaa ya Iringa, nilidhani ni kama ulaya kumbe ni kama Geita, nashangaa hata Halmashauri yenyewe imechoka, nikamkumbuka sana Msigwa, haya mambo uliyoyafanya yalitakiwa yafanywe na Msigwa,”– Musukuma

“LOWASSA HUKU USIJE HATUKUTAKI, UKIJA UNAPUMZIKA” MUSUKUMA

Soma na hizi

Tupia Comments