Tangaza Hapa Ad

Mix

Jinsi alivyopokelewa Waziri wa Mambo ya Ndani kwenye siku yake ya kwanza ofisini

on

6Wizara ya Mambo ya Ndani rasmi imempokea Mheshimiwa Waziri Mathias Chikawe kama Waziri wa Mambo ya ndani ambapo baada ya kukamilika kwa utambulisho alipata nafasi ya kuzungumza na kuyasema yafuatayo hapo chini.

7Katoa namba maalum kwa wananchi ili kukitokea  tatizo lolote wawe nae karibu na kumfikishia kwa haraka, aligusia pia suala la rushwa na kusema atapambana na wote wala rushwa kwenye wizara yake.

1

_DSC7998

Tupia Comments

Advertisement