Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kama ulipitwa na Vituko Uzinduzi Ndondo Cup Mwanza

on

September 20, 2017 ilikuwa siku maalumu kwa wapenda soka la mchangani maarufu Ndondo katika Mkoa wa Mwanza ambapo mashindano ya Ndondo Cup Mwanza 2017 yalizinduliwa rasmi katika Uwanja wa Nyamagana.

Moja ya mambo ambayo yalinogesha uzinduzi huo na ambayo yanatarajiwa kuwa sehemu kubwa ya burudani kila mashindano yatakapokuwa yanaendelea ni vituko

Siku moja kabla ya Ndondo Cup Mwanza, timu shiriki zakabidhiwa vifaa

Vituko na show ya Manfongo na Sholomwamba uzinduzi Ndondo Cup 2017 #Waletee

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement