Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Navy Kenzo walivyomtangaza mshindi wa tuzo ya Best Lusophone

on

Usiku wa Jumamosi ya October 22 2016 Johannesburg Afrika Kusini ndio siku ambayo zilitolewa rasmi tuzo za MTV Mama 2016 kwa wasanii waliofanya vizuri kwa mwaka 2016.Hapa nimekusogezea video ya kundi la Navy Kenzo walivyomtangaza mshindi wa tuzo ya Best Lusophone.

Itazame hii video hapa ujionee jinsi Navy Kenzo wakimtangaza mshindi wa tuzo ya Best Lusophone

ULIIKOSA HII YA IDRIS SULTAN ALIVYOWATANGAZA WASHINDI WA TUZO ZA MTV MAMA 2016 BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement