Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Mr. Blue kapewa kolabo nyingine… D Boy & Skubby – serereka

on

Tegemea kupokea ngoma au video mpya kila siku kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva, leo ni zamu ya D Boy na Skubby ambao wamemshirikisha Mr. Blue kwenye hii single mpya inaitwa ‘serereka’ na ukishaitazama usiache kutoa comment yako umeipokeaje mtu wa nguvu

ULIPITWA? Naj ataja asichopenda kuulizwa tena kwenye Interview, bonyeza play kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement