Biko Ad 2
MPTV Ad
TIC Ad
Tangaza Hapa Ad

Michezo

Video iliyomponza Aden Range kuondolewa World Cup na kufungiwa maisha

on

Moja kati ya habari zinazochukua headlines kwa sasa ni habari ya refa wa Kenya Aden Range Marwa ambaye aliondolewa katika list ya marefa wasaidizi watakaosimamia michuano ya Kombe la Dunia 2018 kwa kashfa ya rushwa.

Aden Range Marwa alinaswa katika video akipokea rushwa ya dola 600 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 1, kutoka kwa muandishi wa habari wa Ghana, baada ya tukio hilo Marwa aliondolewa katika list ya waamuzi wasaidizi Kombe la Dunia na sasa amefungiwa maisha na CAF kujihusisha na soka.

Hii ndio video yenyewe aliyonaswa akipokea rushwa

Haji Manara kaeleza sababu za kuwasajili Wawa, Dida na Kagere

Soma na hizi

Tupia Comments