MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mwanasiasa mkongwe Kenya amefariki

on

Mwanasiasa mkongwe wa upinzani kutoka nchini Kenya, Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.

Matiba alifariki akiwa anapatiwa matibabu katika moja ya hospitali iliyopo jijini Nairobi na alikuwa maarufu sana katika harakati zake za kisiasa kati ya miaka ya 1950 na 1960.

Mwanasiasa huyu aliwania kiti cha urais mnamo mwaka wa 1992, lakini akaibuka wa pili, nyuma ya Daniel Toroitich Arap Moi.

DAR ES SALAAM KWA JUU BAADA YA MVUA KUBWA

 

Soma na hizi

Tupia Comments