Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 14: Watuhumiwa wa ishu ya dawa za kulevya Dar walivyopelekwa Mahakamani leo

on

Jana Kamshna wa Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro  alitoa taarifa iliyosema kuwa wamewakamata Watuhumiwa wa dawa za kulevya 112 na kinachofata ni leo February 7 2017 baadhi ya Watuhumiwa wa hao kufikishwa Mahakama ya mkazi kisutu.

Kwenye orodha ya Watuhumiwa hao wapo baadhi ya watu maarufu wakiwemo Wasanii wa bongofleva ambapo hizi ni picha kuanzia wanapotoka Polisi kuelekea Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu.

Mwimbaji T.I.D na wengine wakiwa kwenye gari kuelekea Mahakamani

T.I.D baada ya kufika Mahakamani

Waandishi wa habari

Rommy Jones na Nyandu

Tunda, Rachel na wengine wakiwa tayari Mahakamani

Mama wa Mwigizaji Wema Sepetu akiwa anatoka kituo cha kati cha Polisi

Mama mzazi wa Diamond Platnumz ni miongoni mwa ndugu waliojitokeza kufatilia ndugu zao

FULL VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi baada ya kutajwa kwenye orodha ya ishu za dawa za kulevya, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement