Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha: Muonekano wa Jiji la Mbeya leo October 15 2016.

on

Jiji la Mbeya ni miongoni mwa majiji matano ya Tanzania yanayokuwa kwa kasi kila siku, ukiondoka na ukarudi baada ya mwaka utakutana na mabadiliko makubwa ya mji, leo nimekusogezea picha za baadhi ya maeneo na muonekano wake.

0f8a8637

Jengo linalosemekana ndio refu kuliko yote Mbeya

0f8a8611

4

1

3

2

5

UNAKARIBISHWA JIJI LA MBEYA 2016, KUNA SOKO JIPYA LA KISASA MWANJELWA BONYEZA PLAY KULITAZAMA

 

Tupia Comments

Advertisement