MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

“Mzisome vizuri sheria kabla ya kuupotosha UMMA” –Dr Tulia

on

Baada ya Wabunge kuomba muongozo wa kiti cha Spika kuhusu tuhuma za baadhi ya Mawaziri kujibu ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali  (CAG) iliyowasilishwa hivi karibuni  na kukiuka taratibu za kisheria.

Naibu Spika Dr Tulia Ackson alisimama na kutolea ufafanuzi “Sheria hii haijasema CAG asizungumze na vyombo vya habari na pia sheria hii haimzuii mtu yeyote anayetaka kuzungumzia taarifa hiii. Sheria hizi mkizipitia majibu huwa hayatolewi kwa mdomo, ukisema Waziri anajibu hoja za CAG hapo ni anatoa mawazo yake. ”

Tuwe tunasikilizana… wengine hamkupata fursa ya kusoma sheria, mzisome sheria vizuri na tuwe tunasikilizana. Hoja za CAG zinajibiwa kwenye kamati kwa mujibu wa sheria” –Dr Tulia

Onyo alilotoa January Makamba kwa Mastaa wa Bongo

Soma na hizi

Tupia Comments