Tangaza Hapa Ad

Mali za Mastaa

P Square sasa kwenye ukurasa mmoja na Usher Raymond, Ludacris na T.I

on

Screen Shot 2014-01-20 at 3.09.53 AMSiku zote ukisikia Mwafrika yeyote kanunua au anamiliki nyumba Marekani au kwenye nchi yoyote iliyoendelea sana duniani, lazima sehemu ya mawazo yako iwe ni fikra juu ya utajiiri alionao.

Basi post hii naitumia kukupa info na pichaz kwamba mastaa wa Nigeria, Peter and Paul a.k.a P Square wamenunua nyumba mbili huko Atlanta Georgia Marekani, sehemu ambayo mastaa wengi wa Marekani pia wanaishi au kumiliki nyumba mfano T.I, Usher Raymond, Lil Jon na Ludacris.

Peter kupitia Instagram aliandika kuhusu wao kununua nyumba mbili huko Atlanta Marekani na kumshukuru Mungu kuwapa uwezo ambao umetokana na kufanya kazi kwa bidii.

p square 6

p square 5

p square 4

p square 3

p square 2

P Square 1

Screen Shot 2014-01-20 at 3.21.41 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 3.21.15 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 3.18.53 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 3.18.26 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 3.23.41 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 3.17.43 AM

pUnataka stori za kila siku zisikupite na zikufikie kiganjani mwako kila baada ya muda mfupi? ungana na mimi mtu wako wa nguvu kwenye facebook, twitter na instagram kwa jina la Millard Ayo manake huwa mzigo nauanzishia huko mtu wangu.

Tupia Comments

Advertisement