Tangaza Hapa Ad

VIDEO: Magoli ya mechi ya Simba vs Majimaji Septemba 24, Full Time 4-0


Jumamosi ya Septemba 24 2016 wekundu wa Msimbazi Simba ambao wanaelekea kucheza mchezo wao na watani zao wa jadi Yanga, walicheza mchezo wao wa sita wa Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Majimaji FC katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kuibuka na ushindi wa goli 4-0.

 ALL GOALS: Simba vs AFC Leopard August 8 2016, Full Time 4-0

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement