Tangaza Hapa Ad

Michezo

Usisahau kuwa Azam FC wamecheza mchezo wao wa kwanza Mapinduzi Cup leo Jan 1

on

January 2 2017 mchezo wa kwanza wa Kundi B lenye timu za Zimamoto, Azam FC, Yanga na Jamhuri Kombe la Mapinduzi 2017 ndio ulichezwa, mchezo wa kwanza wa Kundi B leo ulikuwa unawakutanisha Mabingwa mara mbili wa michuano hiyo Azam FC dhidi ya Zimamoto.

Mchezo umepigwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar wakati ambao Azam FC walikuwa wanaingia uwanjani kucheza mchezo wao wa pili wa mashindano pasipo uwepo wa waliyokuwa makocha wao kutokea Hispania.

img-20170102-wa0001

Kikosi cha Azam FC leo licha ya kutawaliwa na sura mpya katika kikosi cha kwanza wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0, goli ambalo lilifungwa na mchezaji wao chipukizi Shabaan Iddi dakika ya 79 ya mchezo muda mchache baada ya kuingia akitokea benchi.

ALL GOALS: JKT Ruvu vs Yanga December 17 2016, Full Time 0-3

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement