Tangaza Hapa Ad

Michezo

PICHA 8: Nyumba ya kifahari aliyoinunua Raheem Sterling wa Man City

on

Staa wa soka wa England anayeichezea Man City Raheem Sterling ameingia kwenye headlines baada ya kutumia pound milioni 3.1 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 8.6 kununua nyumba ya kifahari kwa ajili ya kuishi na mpenzi wake, awali nyumba hiyo Sterling alikuwa kaipanga kabla ya kuinunua.

Raheem Sterling na mpenzi wake

Sterling amenunu nyumba hiyo ambayo mtandao wa dailymail.co.uk, umeozionesha picha za nyumba yenyewe yenye vyumba vitano vya kulala, ukumbi wa Cinema, huku ikitajwa kuwa staa huyo anapanga kuishi nyumba hiyo na mpenzi wake Paige Milian na mtoto wao Thiago.

Sehemu ya kutazamia Cinema nyumbani

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement