Tangaza Hapa Ad

Michezo

Jibu la Balotelli alipoulizwa kuhusu Jurgen Klopp

on

Mshambuliaji wa kimataifa wa Italia mwenye asili ya Ghana ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Nice ya Ufaransa Mario Balotelli, bado anaendelea kuingia kwenye headlines kama ilivyo kawaida yake, mara nyingi Balotelli asipoandikwa kuhusu kufunga goli basi ataandikwa kafanya kituko fulani.

Baada ya kukutana na msimu mgumu Liverpool chini ya kocha Jurgen Klopp mshambuliaji huyo alitolewa kwa mkopo kwenda AC Milan  na baadae kurejea katika klabu hiyo na kutolewa bure kwenda Nice ya Ufaransa ambapo anafanya vizuri kwa sasa na kuwa nguzo imara ya ngome ya ushambuliaji ya timu hiyo.

524618-mario-balotelli-look-700

Kitendo cha kutolewa bure kwenda Nice kinaoneshwa kutomfurahisha Balotelli kwani kauli aliyoitoa baada ya kuulizwa kuhusu kocha huyo imewashangaza wengi “Klopp? mimi simjui ninachofahamu ni mtu tu aliniambia niondoke Liverpool kwa mkopo na baadae nikarudi nikasema asante bye” 

trgg

ALL GOALS: Yanga vs Simba October 1 2016, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement