Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Goli la Asamoah Gyan limewapeleka Ghana robo fainali AFCON 2017

on

January 21 2017 ushindi wa goli 1-0 wa Ghana dhidi ya timu ya taifa ya Mali unaipeleka timu hiyo moja kwa moja hatua ya robo fainali ya michuano ya AFCON 2017, Ghana wameifunga Mali goli 1-0 lililofungwa na nahodha wa timu hiyo Asamoah Gyan dakika ya 21.

Ushindi wa goli 1-0 unaifanya Ghana kutinga hatua ya robo fainali ya AFCON 2017 moja kwa moja huku wakiwa na mchezo mmoja mkononi, hiyo inatokana na kufikisha jumla ya point sita na kuongoza msimamo wa Kundi DGhana sasa watacheza mchezo wa kukamilisha ratiba dhidi ya Misri.

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement