PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Hii ndio adhabu utakayopewa ukimuambukiza mtu ugonjwa kwa kusudi

on

Leo July 10, 2018 tunayo story kutokea kwa Mwanasheria wa Kujitegeme Leornad Manyama ambapo anasema kwa mujibu wa sheria ni kosa la jinai kumuambukiza mtu mwingine ugonjwa na ukitiwa hatiani adhabu yake ni jela miaka 2.

Wakili Manyama anasema miongoni njia za kuambukiza wengine magonjwa ni kufungulia chemba wakati wa mvua, ama mtu aliyeathirika na ugonjwa fulani kumuambukiza mwingine kwa makusudi.

Kilichosababisha Tanga na Manyara kushindwa kushiriki Miss Kanda Kaskazini

Soma na hizi

Tupia Comments