Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Exclusive VIDEO: “Nadhani mtaniita Mama Rwakatare” – Ray C

on

Mwimbaji hodari wa siku nyingi kwenye Bongofleva Rehema Chalamila maarufu kama Ray C hajaonekana kwenye mahojiano kwa siku nyingi lakini AyoTV imempata Dodoma.

Ray C amekubali kuzungumzia ishu mbalimbali ikiwemo ukaribu wake na Mungu kwa sasa, anachokiona kwenye bongofleva na mengine…. hii video hapa chini ina kila kitu.

OnAIR: Ataemchukuliwa Irene Uwoya Mwanaume, kawazungumzia Wanaume wanaokwenda Saluni, kitu gani unatakiwa kufanya kama umempenda Uwoya? akikufumania je? kila kitu kipo kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Ray C alivyoimba mbele ya Waziri mkuu Majaliwa Dodoma

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement