Top Stories

RC Mwanri aibua vicheko msibani kwa Kigwangalla “dunda asikutishe Mama mkwe na Shetani” (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amezungumza katika mazishi ya Mtoto wa Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla yaliyofanyika Mkoani Tabora Wilayani Nzega na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri January Makamba na Viongozi wengine.

Mwanri amemtaka Waziri Kigwangalla na Familia yake kutolaumu juu ya kifo cha Mtoto wao ila wajue ni mipango ya MUNGU.

INJINIA ALIEAMBIWA SOMA HIYOO NA MWANRI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS

Soma na hizi

Tupia Comments