Top Stories

JPM amtaka ‘Mkuu wa Mkoa Bora TZ’ atoe maelezo “why wanamdanganya Nyerere”

on

Rais Magufuli ameagiza Wakuu wa Mikoa na Wilaya katika halmashauri 5 ambazo zimefanya udanganyifu kwa miradi iliyotembelewa na mwenge mwaka jana kutoonekana mwaka huu, wajieleze kwa kina kabla ya kuchukuliwa hatua.

“Waziri Mkuu nataka yale maelezo ya kina watoe sasa, kwa nini wanadanganya Mwenge, kwa nini wanamdanganya Baba wa Taifa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ambaye ni kiini na mwanzilishi halali wa Mwenge” amesema Rais Magufuli.

Rais Magufuli akerwa “Kwa nini mnamdanganya Mwl. Nyerere, Ma-RC na MA-DC toeni maelezo”

 

Soma na hizi

Tupia Comments