PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Michezo

Chumba cha Taifa Stars, Wachezaji walivyomuimbia Makonda baada ya ushindi. (+video)

on

Furaha haijaisha na bado shamrashamra zinaendelea kuanzia uwanjani mpaka barabarani, nyumbani mpaka baa… hii video fupi hapa chini ilirekodiwa kwenye chumba cha Wachezaji wa Taifa Stars wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alipoingia baada ya mechi ambayo Stars wameibuka na ushindi wa 3-0 vs Uganda.

VIDEO: TAIFA STARS WALIVYOSUBIRIA FILIMBI YA MWISHO, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO: SHANGWE LA WACHEZAJI WA STARS BAADA YA USHINDI VS UGANDA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments