Top Stories

RPC “Alimtembezea kipigo hadi akazirai, asubuhi alikutwa amefariki”

on

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, Ahmed Msangi amekanusha taarifa za mauaji ya Muuguzi mmoja mkoani Mwanza dhidi ya Polisi, huku akiwataka waandishi wa habari kuacha kuandika vitu kwa mihemuko bila ya kufuata utaratibu.

Kamanda Msangi amesema kwamba kikundi cha walinzi walimkamata mwananchi ambaye alifahamika jina la Christian Audock Joseph wakiwa wanamtuhumu kwa kosa la wizi katika maduka waliyokuwa wanayalinda.

LIVE MAGAZETI: Uchunguzi mkubwa mali za VIGOGO, Serikali kuwasaidia wenye wake wawili

Soma na hizi

Tupia Comments