Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

HEKAHEKA: Kamshika Komba, akafunikwa kwenye nyungu na Mganga

on

Kutokea Mwanza Geah Habib kainasa Hekaheka na kutusogezea kupitia Leo Tena ya Clouds FM leo September 20, 2017 ambapo inamhusu kijana mmoja ambaye anadaiwa kufunikwa kwenye nyungu na mganga wa kienyeji.

Inadaiwa kuwa kijana huyo akiwa anafanya mazoezi ya mpira alikutana na mnyama ajulikanae kama komba na kumshika na baada tu ya muda akaanza kuhisi vitu vinamtembelea katika mwili wake na baadae akuamua kumtafuta mganga wa kienyeji ambaye alimfunika kijana huyo kwenye nyungu hiyo.

Kitendo hiki cha kufunikwa kwenye nyungu kilimsababishia kijana huyu kubabuka mwili mzima japokuwa wakati yuko ndani ya nyungu hiyo hakuhisi mabadiliko yoyote yanatokea mwilini mwake.

Ulipitwa na hii? BREAKING! DC kathibitisha linalodhaniwa bomu kuuwa watoto

Hii je?MPIGAPICHA CHINI YA MTI! Ana ndoto siku moja aajiri vijana wenzake

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments