Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Shaa kuhusu mipango ya kusaini wasanii wake mwaka 2017

on

Ni October 25, 2016 ambapo Malkia wa uswazi, Sara Kaisi aka Shaa amefunguka kupitia  Ayo TV na kueleza mipango yake ya kuanza kusaini wasanii wake mwaka huu.

Staa huyo akiongea na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>>Mipango yangu kwa mwaka 2017 unaoanza ninataka kusaini wasanii wangu wapya, msanii mmoja tayari nimeshampata kijana mmoja kutoka Tanga na msanii wa pili ni binti alikuwa kwenye shindano la maisha Superstar hao wawili si vibaya kwangu mimi kuanza nao nitawambulisha rasmi’

Unaweza ukabonyeza play kumsikiliza Shaa akizungumza kuhusiana na kusainia wasanii wake

ULIIKOSA HII COUNTRY BOY KUHUSU MTU CHEE KUTOZIACHIA PROJECT ZAO ITAZAME HII VIDEO HAPA

Tupia Comments

Advertisement