Tangaza Hapa Ad

AyoTV

WAMEACHANA: Boyfriend mpya wa Shilole kathibitisha wameachana (+ video )

on

Kwa wale wanaofatilia stori za mastaa hii ni ya Msanii wa bongofleva Shilole ambaye juzi kati alitutambulisha Shemeji yetu walieonyesha wanapendana na kuweka wazi kwamba ndio wako pamoja kwa sasa.

Habari za kuhuzunisha ni kwamba wawili hao wametengana na aliyethibitisha hilo ni boyfriend huyo mpya  (Boy Caro) kwa kusema ‘Ni kweli tumeachana lakini siwezi kuacha kumsifia, kwenye maisha ya kawaida Shilole ni mpiganaji sana…. na pia siwezi kumlaumu kuhusu kuachana kwetu

Tazama hii video hapa chini kupata kila kitu alichokisema Boy Caro

VIDEO: Shilole na Boyfriend wake mpya walivyohojiwa kwa Diva

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement