Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Mazishi ya Spika mstaafu Samuel Sitta

on

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani.

Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.

VIDEO: Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta 

VIDEO: Zitto Kabwe aliposimama kuuaga mwili wa Samuel Sitta Bungeni

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement