Tangaza Hapa Ad

Michezo

AUDIO: Maamuzi ya serikali kuhusu mfumo wa mabadiliko wa Simba na Yanga

on

Baraza la michezo Tanzania BMT leo kupitia kwa katibu mkuu wake Mohamed Kiganja limetangaza maamuzi tofauti kuhusu mchakato wa mabadiliko ya uendheshwaji wa vilabu vya Simba na Yanga kwa mfumo wa hisa na ukodishwaji, Kiganja amepiga marufuku na kusema mchakato wa mabadiliko hayo usimame kwanza.

“Taarifa yangu inajikita kusitisha mchakato wa mabadiliko unaoendeshwa ndani ya vilabu vya Yanga na Simba, Baraza la michezo la Taifa linasema mabadiliko au michakato yote ya mabadiliko inayoendeshwa kutoka kwa wanachama kwenda katika mfumo wa hisa na ukodishwaji isitishwe mara moja” >>> Kiganja

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement