Biko


Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

MOTO WA AJABU: Unawaka bila chanzo, ukizimwa mezani unawaka kitandani…

on

Mtangazaji Geha Habibu leo August 14, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM ametuletea Hekaheka iliyotokea Kitunda, Dar es Salaam ambapo inadaiwa kulizuka moto ambao ulizua taharuki baada ya kuwaka katika nyumba moja na kila ulipozimwa ulihamia sehemu nyingine.

Inadaiwa tukio hilo lilisababisha mwenye nyumba kumuita Mchungaji kwa ajili ya kufanya maombi kwa kuwa haikuwa hali ya kawaida baada ya kutobainika chanzo cha moto huo huku mwenye nyumba akimhisi mmoja wa majirani zake.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Fullstory

DSM isivyoishiwa mambo, isikupite HEKAHEKA hii iliyotokea Kawe

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement