Tangaza Hapa Ad

Mix

Tecno wameungana na Jumia kukupa ofa ya BlackFriday, Changamka ujishindie Vocha za Chakula

on

Tecno wanakuletea ofa  ya #BlackFriday kwa kushirikiana na Jumia ili kuhakikisha unafurahia kuwa mteja wa bidhaa za kampuni hizi mbili kwa muda mrefu. Wateja watafaidika kwa njia mbalimbali kupitia ushirikiano huu kuanzia kwenye huduma mpaka zawadi mbalimbali zitakazotolewa.

Wateja watakaonunua simu mpya za PHANTOM 6 na PHANTOM 6 Plus watapata kuponi zitakazowawezesha kuagiza chakula popote ambapo kampuni ya Jumia inafanya kazi, na utaratibu huu umeanza rasmi 1/11/2016.

Sasa kubwa zaidi  ni pale wateja wa Jumia watakapoagiza chakula kupitia programu (Application) inayopatikana katika mfumo wa android, watapata nafasi ya kushinda simu ya PHANTOM 6 na zawadi zingine kemkem zitakazotolewa na kampuni ya JUMIA kwa hisani ya TECNO MOBILE LIMITED.

jumia

Katika mwezi huu wa Novemba na Desemba kuna nafasi kubwa kwa wateja wa kampuni hizi mbili kufurahia ofa kabambe. Nunua simu za TECNO PHANTOM 6 katika maduka yote yaliyopo nchini kote upate kujishindia zawadi kutoka JUMIA na TECNO MOBILE LIMITED. Usikose Fursa Hii!

Unaweza kupitia kurasa hizi za mitandao ya kijamii ya Tecno kufahamu zaidi kuhusiana na Tecno Phantom 6 na Phantom 6 Plus.

Facebook: https://www.facebook.com/TECNOMobileTanzania/?fref=ts

Instagram:https://www.instagram.com/tecnomobiletanzania/

Twitter: https://twitter.com/TECNOMobileTZ

VIDEO: Rais Magufuli amempigia simu RC Paul Makonda leo kwenye ziara yake, Bonyeza play hapa

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement