Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Alichozungumza Farid kuhusu Puma kuendelea kumtumia vifaa

on

Mtanzania Farid Musa anayecheza soka katika timu ya Tenerife ya Hispania ya Ligi daraja la pili, leo nimempata katika exclusive interview nikikumbushia ile ishu yake ya kupewa vifaa na kampuni ya Puma toka akiwa Tanzania sasa hivi imefikia wapi ameanza kulipwa?

Lakini vipi wameingia mkataba rasmi au kuna makubaliano yoyote yanayombana yeye kwa sasa kutumia viatu vya kampuni nyingine nje ya Puma baada ya kujiunga na timu ya Tenerife?

VIDEO: Msimamo wa Simba uliyotolewa leo kuhusu point 3 vs Kagera Sugar

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement